Visa vya mauaji kwa mapanga na visu vyazua taharuki Lamu

  • | Citizen TV
    914 views

    Zaidi ya watu 50 wameuwawa kwa mapanga na visu katika kipindi cha takriban miaka 10 sasa.visa hivyo vimeshuhudiwa katika vijiji vya Mbwajumwali, Chundwa, Faza, Kizingitini, Kisiwa cha Pate, Lamu Mashariki kaunti ya Lamu.Hii ni kulingana na takwimu kutoka kwa baraza la wazee wa kibajuni kaunti hiyo.