Visa vya ugonjwa wa akili vyaongezeka nchini

  • | KBC Video
    64 views

    Visa vya matatizo ya kiakili vinazidi kuongezeka nchini Kenya kila kuchao,huku ugonjwa wa Bipolar, ugonjwa wa kiakili ambao hubeba hisia kuu mbili za unyogovu ambazo zinabadilikabadilika,wengi wa waathiriwa wakiongea kwa kasi,wakati mwingine hununa kupindukia huku mawazo yakienda mbio na hata kutoa majibu ambayo hayaendani na maswali wanayoulizwa kutokana na msongo wa mawazo. Kufikia sasa ugonjwa huo haueleweki. Waathiriwa wa hali hii mara nyingi hukabiiliwa na unyanyapaa ambao baadaye husababisha wasalie kimyakimya wakiendelea kuumia. Tunaangazia mwaathiriwa,Samuel Ochieng' Okeyo ambaye amesumbuliwa na hali hii kuanzia mwaka 2000. Hii hapa simulizi yake kwa kiduchu tu lakini makala kamili atayapata katika taarifa zetu za kiingereza,saa tatu usiku.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive