Visa vya uhalifu vyaripotiwa kuongezeka eneo la Kakrao katika kaunti ndogo ya Suna Magharibi

  • | Citizen TV
    120 views

    Wenyeji wa wadi ya kakrao katika kaunti ndogo ya Suna Magharibi wametoa onyo na tahadhari kwa wahalifu wanaovamia wenyeji Kwa kutumia mapanga kuwa chuma Chao ki motoni.