Visa Vya Utekaji Nyara Vyakemewa; Mchungaji Kathita, Amelaani Utekaji Wa Mwanafunzi Benard Kavuli

  • | TV 47
    34 views

    Visa Vya Utekaji Nyara Vyakemewa; Mchungaji Samuel Kathita, Amelaani Utekaji Wa Mwanafunzi Benard Kavuli

    Mchungaji Wa Mwingi Full Gospel Church, Samuel Kathita, amelaani utekaji wa mwanafunzi Benard Kavuli wa Chuo Kikuu Cha Mount Kenya, MKU anayetoka Mumoni, Mwingi Kaskazini.

    Kavuli aliripotiwa kutekwa nyara siku chache zilizopita jijini Nairobi.

    #TV47Matukio #Christmas2024

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __