Visima vya matumaini Turkana

  • | Citizen TV
    171 views

    Kwa muda mrefu eneo la Turkana limeshuhudia kiangazi na ukame wa mara kwa mara. Wakazi wakihangaika kwa kukosa chakula na maji ya kutosha. Ili kukabiliana na hali hii Serikali kuu pamoja na ile ya kaunti ya Turkana kwa ushirikiano na wafadhili kutoka ujerumani imezindua mradi wa kuchimba visima katika eneo la Lodwar ili kuwasaidia wakazi wakati wa kiangazi.Mwanahabari wetu Moses Mwakisha ametayarisha makala haya ambayo yanasomwa naye laura Otieno.