Vita vya sokwe vilivyodumu kwa miaka minne Tanzania

  • | BBC Swahili
    2,543 views
    Vita vya makundi mawili ya sokwe (chimpanzees) vilivyodumu kwa miaka minne ni tukio la kuvutia lililowahi kutokea katika hifadhi ya wanyama ya Gombe, nchini Tanzania. Hifadhi hii ni maarufu kwa utafiti wa sokwe, na imekuwa sehemu ya utafiti wa muda mrefu wa tabia za sokwe na jamii zao. Je vita hiyo ilikuwaje? Chanzo chake kilikuwa nini? @elizabethkazibure anaelezea #bbcswahili #tanzania #vitayasokwe Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw