Vita ya maneno kati ya Elon Musk na Julius Malema ilianzaje?

  • | BBC Swahili
    2,255 views
    Hivi karibuni Elon Musk alialitupiana maneno na mwanasiasa wa Afrika Kusini Julius Malema ambapo alisema wanapaswa kumtangaza Malema kuwa mhalifu wa kimataifa. Malema alimjibu na kumwambia Musk 'aende zake.' Lakini haya yote yalianzia wapi? @frankmavura anaenelezea #bbcswahili #afrikakusini #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw