Vurumai kanisa la Jesus Winner Ministry Roysambu

  • | KBC Video
    6,372 views

    Rais William Ruto amesema hatasita kuzisaidia taasisi za kidini. Rais Ruto alitoa wito kwa waumini wasiyumbishwe na baadhi ya wale wanaopinga miradi ya ujenzi wa makanisa. Rais Ruto alikariri msimamo wake muda mfupi baada ya maandamano eneo la Roysambu, Nairobi kuonesha kutoridhika kwao kuhusiana na mchango uliotolewa kwa kanisa la Jesus Winners Ministry, hali iliyowalazimu polisi kutoka kitengo cha GSU kushika doria nje ya kanisa hilo. Giverson Maina anaarifu kwa kina.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive