Vyama vya wafugaji wa ng'ombe Kiambu yataka serikali kuingilia kati baada ya kurekodi duni

  • | NTV Video
    24 views

    Vyama vya ushirika vya wafugaji wa ng'ombe katika kaunti ya kiambu sasa vinaitaka serikali kuingilia kati baada ya kurekodi matokeo duni ya mauzo yao licha ya bei ya juu ya maziwa, gharama ya uongezaji wa thamani ya bidhaa zao imesababishwa na bei ya juu ya vyakula vya mifugo kutokana na ushuru kuwa mkubwa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya