Vyura dume wanao tumia mbinu ya tofauti kulea watoto 'wazaa' watoto 33

  • | BBC Swahili
    1,406 views
    Vyura dume walio hatarini kutoweka ambao hutumia mbinu isiyo ya kawaida kulea watoto wao, 'wamezaa' watoto wadogo 33 nchini Uingereza kama sehemu kuokoa viumbe hao kutokana na ugonjwa hatari wa fangasi. Viluwiluwi hao hukua ndani ya koo na 'huzaliwa' kupitia mdomoni Vyura wa kiume walifunga safari ya ajabu ya maili 7,000 hadi mbuga ya wanyama ya London #bbcswahili #london #wanyama #utafiti Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw