Waandamanaji kadhaa wakamatwa jijini Nairobi

  • | KBC Video
    23 views

    Chama cha wanasheria nchini Kenya, baraza la vyombo vya habari na wadau wengine wamelaani kukamatwa kiholela na kushambuliwa kwa raia waliokuwa wakiandamana kupinga mswada wa fedha wa 2024. Kwa upande wake baraza la vyombo vya habari humu nchini, limemtaka inspekta jenerali wa polisi kuwadhibiti maafisa wake kwa kuhakikisha wanahabari wanalindwa na hawalengwi kwa unyanyasaji wanapotekeleza majukumu yao katika mazingira yoyote ya kikazi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive