- 75,557 viewsDuration: 28:10Waandamanaji wameingia mitaani nchini Tanzania kwa siku ya tatu mfululizo, kukaidi amri iloyotolewa na mkuu wa jeshi la nchi hiyo ya kuwataka kukomesha vurugu hizo. Maandamano yamekuwa yakifanyika katika katika miji mikuu, waandamanaji wengi wao vijana wanaojulikana kwa jina maarufu kama Gen Z, wakitaja uchaguzi mkuu uliofanyika Jumatano kutokuwa huru na wa haki kwa sababu viongozi wakuu wa upinzani walizuiliwa kugombea dhidi ya Rais Samia Suluhu Hassan. #bbcswahili #tanzania #zanzibar Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw