Waandishi wa habari waandamana wakidai uhuru wao unakandamizwa na wanaostahili kuulinda

  • | VOA Swahili
    509 views
    Waandishi wa habari Wameandamana leo Jumatano mjini Nairobi, Kenya wakitaka Serikali iwahakikishie kuwepo Uhuru wa vyombo vya habari nchini humo. Hii ni baada ya mmoja wa waandishi wa habari kupigwa risasi wakati wa maandamano ya Gen Z yalipofanyika wakitaka mabadiliko kwa Serikali ya Ruto. Hii ni Nairobi. #waandishi #habari #kenya #nairobi #genz #voa #voaswahili #risasi #polisi #serikali #bungelakenya