Waandishi wa habari watatu wajeruhiwa na polisi kwenye kizaazaa cha Nakuru

  • | Citizen TV
    4,393 views

    Wanahabari walikuwa wakifuatilia kizaazaa Nakuru

    Polisi waliwapiga na kuvunja vifaa vyao vya kazi

    Polisi waliwarushia vitoa machozi na kuwatawanya