Waasi wa M23 wafanya mkutano wa kwanza wa hadhara

  • | BBC Swahili
    29,562 views
    Umati mkubwa wa watu umehudhuria mkutano wa kisiasa wa kundi la M23 mjini Goma Hii ni miongoni mwamengi zaidi tutakayo kuwa nayo katika Dira ya Dunia Tv na @roncliffeodit saa tatu usiku saa za Afrika mashariki kupitia ukurasa wetu wa YouTube BBC News Swahili #bbcswahili #diratv #M23 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw