Waathiriwa wa dhuluma za kijinsia wasimulia masaibu yao

  • | Citizen TV
    62 views

    Unyanyasaji wa kijinsia unaendelea kuwa donda sugu katika jamii nyingi duniani. Hapa kenya visa vya dhulma za kimwili vinaonekana kuongezeka kila uchao.kupona kikamilifu baada ya kupitia dhulma za kijinsia ni safari ndefu,inayohitaji uvumilivu na ustahimilivu