Waathiriwa wa mafuriko eneo la Shimo la Tewa, Nairobi walalamikia ubomoaji

  • | Citizen TV
    452 views

    Waathiriwa Wa Mafuriko Katika Eneo La Shimo La Tewa Hapa Nairobi, Wamelalamikia Kile Walichotaja Kuwa Ubaguzi Katika Zoezi La Kuwahamisha.