Waathiriwa wa mafuriko iliyotokea Mai Mahiu wasema wametelekezwa na serikali

  • | Citizen TV
    446 views

    Mwaka mmoja baada ya mkasa wa mafuriko eneo la Mai Mahiu kaunti ya Nakuru, waathirwa wa mkasa huo wamesalia na ahadi tupu licha ya serikali kuwaahidi mwanzo mpya. Kwenye ibada maalum iliyofanyika leo kuwakumbuka zaidi ya watu sitini waliopoteza maisha yao kufuatia mafuriko hayo, wengi wanahisi kuwa serikali imewapuuza.