Waathiriwa wa mafuriko wakosa bidhaa za kimsingi

  • | Citizen TV
    941 views

    Hali ya kutamausha inashuhudiwa katika kambi ya Huruma Sports Complex eneo la Kiamaiko ambapo mamia ya watu walioathirika na mafuriko wanajisitiri. Miongoni mwa makundi yanayokabiliwa na hali ngumu zaidi ni watoto na kina mama wajawazito. Familia hizi zinakabiliwa na uhaba wa bidhaa za kimsingi