Waathiriwa wa mafuriko wapewa chakula cha msaada Budalangi

  • | Citizen TV
    48 views

    Katibu katika wizara ya usalama Raymond Omollo amewaonya madereva na wahudumu wa bodaboda dhidi ya kuhatarisha maisha yao wanapovuka maeneo yaliyofurika msimu huu wa mvua.