Skip to main content
Skip to main content

Waathiriwa wa saratani wataka msaada wa vyakula na tiba

  • | Citizen TV
    280 views
    Duration: 4:26
    Watu zaidi ya elfu mbili walionusurika na ugonjwa wa saratani katika kaunti ya Uasin Gishu wanahitaji msaada wa chakula...... Wakiongea jijini eldoret wakati wa matembezi ya kuhamasisha umma kuhusu ugonjwa huo, wamesema unyanyapaa umeongezeka na kutengwa na jamii hata baada ya wao kupitia machungu ya ugonjwa huo na kupona