Wabunge 3 wa Mlima Kenya wabatili saini zao bungeni

  • | Citizen TV
    15,608 views

    Baadhi ya wabunge wa Mlima Kenya waliounga mkono hoja ya kumtimua ofisini Naibu Rais Rigathi sasa sasa wamebadili msimamo wa uamuzi wao. Wabunge Geoffrey Wandeto wa Tetu, Rahab Mukami wa Nyeri na Njoroge Wainaina wa Kieni wamesema katu hawataendeleza juhudi za kutaka kumuondoa Gachagua ofisini.