Wabunge Jane Kihara na Martha Wangari wamtaka Ruto kuwajibika kuhusu visa vya utekaji nyara

  • | Citizen TV
    600 views

    Mbunge wa Naivasha Jane Kihara na mwenzake wa Gilgil Martha Wangari serikali wakisema kuwa inafahamu kuhusu visa vya utekaji nyarra wa raia. Wawili hao wanamtaka rais william ruto kuwajibikia dhulma zinazotekelezwa na asasi za usalama ambazo wanasema zinalenga kuwatia uwoga wananchi ili wasikosoe serikali. aidha wamemkashifu kiongozi wa wengi bungeni kimani ichung'wa kwa matamshi yake kuwa utekaji nyara huo ulikuwa wa kujitakia na kuwa aliyekuwa naibu rais anahusika.