Wabunge Wa Azimio Wakaa Upande Wa Kenya Kwanza Washikilia Kuwa Ndio Wengi Bungeni

  • | TV 47
    45 views

    Wabunge Wa Azimio Wakaa Upande Wa Kenya Kwanza Washikilia Kuwa Ndio Wengi Bungeni

    Kulishuhudiwa kizazaa katika bunge la kitaifa baada ya wabunge wa upande wa Azimio kukaa upande wa Kenya Kwanza na kumtaka Spika Moses Wetang'ula kufuata amri ya korti kwamba azimio ndio wengi bungeni.

    #UpeoWaTV47 #UkumbiWaSiasa

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __