Wabunge wa Azimio waketi upande wa wengi katika mabunge yote mawili

  • | KBC Video
    6,080 views

    Mvutano ulishuhudiwa katika bunge la kitaifa na lile la seneti, baada ya wanachama wa muungano wa Azimio la Umoja one Kenya kuchukua nafasi za walio wengi katika mabunge yote mawili kufuatia uamuzi wa mahakama kuu. Viongozi hao wakiongozwa na Junet Mohammed katika bunge la kitaifa na mwenzake katika bunge la seneti Edwin Sifuna walisema hatua ya kuchukua nafasi za walio wengi ilikuwa halali baada ya mahakama kutangaza muungano huo kuwa wenye uwakilishi mkubwa bungeni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News