Wabunge wakemea unyanyasaji wa wanafunzi uliotokea Nakuru

  • | Citizen TV
    1,607 views

    Wanafunzi na wanahabari walivamiwa na polisi

    Hii ni kufuatia utata wa mchezo wa kuigiza wa 'Echoes of War'

    Mbunge wa Butere Tindi Mwale ataja matukio kuwa ya kiimla