Wabunge walalamikia kucheleweshwa kwa CDF

  • | KBC Video
    10 views

    Wabunge wanalalamikiakucheleweshwa kutolewa kwa pesa za hazina ya serikali ya kitaifa ya ustawi wa maeneo bunge NG-CDF na zile za hazina ya kufadhili makundi maluum. Wabunge hao waliokuwa na hasira waliotishia kukwamisha shughuli wakati wa kikao cha leo alasiri waliishtumu wizara ya fedha kwa kupuuza hazina ya CDF.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive