Wabunge wamrundikia sifa Hayati Papa Mtakatifu

  • | KBC Video
    25 views

    Spika wa bunge la kitaifa Moses Wetang’ula leo aliongoza wabunge kukaa kimya cha muda ili kutoa heshima kwa hayati mkuu wa Kanisa Katoliki Baba Mtakatifu Francis kabla ya mazishi yake Jumamosi. Wabunge katika kuomboleza kifo cha Baba Mtakatifu, walimkumbuka kwa unyenyekevu wake, utetezi wa wasiojiweza, utetezi wa juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa na azma yake ya kuunganisha ulimwengu kwa kuhuburi amani kati ya mataifa yote.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive