WABUNGE WATAKA NAIBU CHANSELA WA ZAMANI AREJESHWE KAZINI

  • | K24 Video
    130 views

    Wabunge wanataka aliyekuwa Naibu Chansela wa Chuo Kikuu cha Kenyatta arejeshwe kazini, wakidai kuondolewa kwake hakukuwa na msingi wowote. Wametishia kuvunja mabaraza ya vyuo vikuu yanayoendeshwa kisiasa.