Wachimba madini walalamika hawapewi leseni Migori

  • | Citizen TV
    202 views

    Licha ya serikali kushinikiza wachimbaji madini kupata leseni kupitia vyama vya ushirika, wachimbaji madini katika Kaunti ya Migori wanadai kuwa serikali imeufanya mchakato wa kupata leseni kuwa mgumu.