Wachimbaji madini wa kihushe Taita Taveta wapokea mwongozo wa kuchimba madini

  • | Citizen TV
    94 views

    Viongozi na washikadau wa uchimbaji madini kaunti ya TaitaTaveta wameupigia upatu mwongozo uliotolewa hivi majuzi kuwa utatua mizozo na uhasama wa mara kwa mara kati ya wawekezaji na makundi ya uchimbaji madini kaunti hio.