Wachimbaji madini walalamika

  • | Citizen TV
    104 views

    Wachimba madini wadogowadogo kote nchini wamekongamana jijini Nairobi kupitia muungano wao wa ASMAK kuishurutisha serikali kuwapa leseni ya kuchimba madini.