Wadau katika sekta ya kilimo wamepongeza uamuzi wa mahakama kuzuia serikali kuagiza vyakula kisaki

  • | KBC Video
    40 views

    Baadhi ya wadau katika sekta ya kilimo wamepongeza uamuzi wa hivi maajuzi wa mahakama ya rufani ulioizuia kwa muda serikali ya Kenya kuagiza mimea na vyakula kisaki wakiutaja kuwa ushindi mkubwa kwa wakulima.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive