Wadau katika sekta ya utalii waeleza kuimarika kwa utalii wakinyumbani msimu huu wa sherehe

  • | K24 Video
    90 views

    Wadau katika sekta ya utalii wameeleza kuimarika kwa utalii wakinyumbani msimu huu wa sherehe za krismasi ikilinganishwa na mwaka uliopita huku hoteli nyingi pwani ya kenya zikisheheni wageni mia fili mia. Wageni ambao wamefurika katika fuo mbalimbali za uma kujivinjari na kutangamani na wenyeji.