Wadau wa elimu wana hofu kuhusu mpito wa gredi ya 9

  • | Citizen TV
    200 views

    Majuma mawili kabla ya kuanza kwa muhula wa kwanza wa masomo , washikadau wa elimu wameitaka serikali kuharakisha ujenzi wa madarasa ya gredi ya tisa ili kufanikisha mpito huu wa elimu. Shirika la elimu yetu pia linaitaka wizara ya elimu kuhakikisha fedha zinazotolewa kwa wanafunzi wa shule za msingi, sekondari msingi na zile za upili zinatumwa kwa wakati,