Wadau wa KICOSCA na CASA waipanga michezo ya kanda ya Afrika Mashariki jijini Kampala

  • | NTV Video
    33 views

    Wadau wa wa michezo baina ya kaunti KICOSCA na wale wa michezo ya mabunge ya kaunti CASA wamekuwa jijini Kampala Uganda ambapo walipanga michezo ya kanda ya Afrika Mashariki itakayofanyika kati ya Februari 23 na 28 mwaka ujao.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya