Wadau wa sekta ya uchukuzi wataka msasa

  • | Citizen TV
    82 views

    Washikadau katika sekta ya uchukuzi wa umma eneo la Ukambani wamelalamikia sera mbaya za bima ambazo wanasema zimeendendelea kuharibu biashara zao wakitaka sera na sheria zinazodhibiti sekta ya bima kuangaliwa tena na kurekebishwa