Wadau wadai Kenya haina miundo mbinu ya kuruhusu wageni kuingia nchini huko bila visa

  • | VOA Swahili
    132 views
    Tangazo la rais William Ruto kuwa kenya imeondoa hitaji la visa kwa raia wakigeni kutoka mataifa yote ulimwenguni wanaozuru taifa hilo kuanzia mwezi Januari mwaka 2024 linazidi kuibua hisia mseto.Wadau katika sekta ya kidplomasia na ushirikiano wa kigeni wanahoji Kenya haina miundo misingi hitajika kuteleza mfumo huu kikamilifu bila ya kuhatarisha usalama wa taifa hilo. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.