Wadau waitaka serikali kutangaza tatizo la ugonjwa wa akili kuwa janga la kitaifa

  • | K24 Video
    5 views

    Wadau katika sekta ya afya wakiwemo madaktari na waathiriwa wa matatizo ya akili wameitaka serikali kutangaza tatizo la ugonjwa wa akili kuwa janga la kitaifa kutokana na ongezeko la visa hivyo nchini. Takwimu za shirika la afya ulimwenguni pamoja na wizara ya afya zikionyesha kuwa kati ya watu 4, 1 ana tatizo la afya ya akili.