Wadhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ufundi cha Kenya, TUK, waandamana

  • | Citizen TV
    285 views

    Wahadhiri wa chuo kikuu cha ufundi cha kenya TUK wameandamana hadi katika ofisi za wizara ya elimu hapa jijini nairobi. Wahadhiri hao wanalalamikia kutolipwa mishahara yao. Wahadhiri hao wamesema hawataingia kwenye kumbi za mihadhara hadi matakwa yao yashughulikiwe.