Wadudu,wanyama huwapa wenzi wao zawadi, kwanini?

  • | BBC Swahili
    185 views
    Unafahamu kwamba wadudu na wanyama nao huwapa zawadi wapenzi wao kama ilivyo kwa binadamu tu. Je ni wadudu au wanyama gani hutoa zawadi? na ni zawadi za aina gani? @elizabethkazibure anaelezea #bbcswahili #wanyama #wadudu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw