Wafanyabiashara Eastleigh watishia kuelekea mahakamani

  • | KBC Video
    154 views

    Baadhi ya wafanyabiashara wa Eastleigh wametishia kwenda mahakamani iwapo serikali ya kaunti haitashughulikia swala la wachuuzi ambao wanadai kuwa wanawazuia wateja kuingia kwenye jumba hilo la biashara.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News