Wafanyakazi kutoka viwanda vya sukari vya Nzoia waandamana kwa kutolipwa mishahara kwa miezi kumi

  • | NTV Video
    52 views

    chama cha kutetea haki za wafanyakazi wa viwanda vya sukari nchini kimetoa makataa ya siku saba kwa bodi ya usimamizi wa kiwanda cha sukari cha nzoia kilichoko kaunti ya bungoma kuandaa mazungumzo na viongozi wa wafanyakazi ili kusikiliza malalamishi yao. wafanyakazi hawa wanateta hawajalipwa mishahara ya miezi kumi, kutopewa vifaa vya usalama kazini miongoni mwa matatizo mengine. labaan shabaan na taarifa kamili.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya