Wafanyakazi walalamikia kukatwa bima ya SHA

  • | Citizen TV
    320 views

    Wakenya sasa wamelazimika kupata mshahara mchache zaidi kufuatia kuanza kutekelezwa kwa malipo ya ada ya bima mpya ya afya ya SHA. Wakenya wanaopata mshahara sasa wakisema ada mpya zinazotozwa na serikali zinawalazimu kujipanga mpya kukidhi mahitaji yao kutokana na kuzidi kwa makato haya.