- 440 viewsKatikati mwa California ni msimu wa mavuno wa strawberries na machungwa. Lakini baadhi ya wafanyakazi wa mashambani ambao si wakazi halali wa Marekani wameamua kujiweka kando ya kazi ya uvunaji, kufuatia kukamatwa kwa wahamiaji ambapo ni sehemu ya msako uliotangazwa na Rais Donald Trump kwa wahamiaji haramu. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Wafanyakazi waondoka mashambani California
- 20 Feb 2025 - Public Service CS Justin Muturi resurfaced on Thursday in Parliament after days of maintaining a low profile, this time round sustaining an onslaught against the government he is serving under for initiating new projects while numerous others had…
- 20 Feb 2025 - The planned press conference by the Rapid Support Forces (RSF) of Sudan in Nairobi on Thursday was rocked by confusion, with conflicting information flooding newsrooms.
- 20 Feb 2025 - A sombre mood engulfed Mochokoret village in Ainabkoi Sub-County when two brothers turned against their elder kin, killing him on the spot.
- 20 Feb 2025 - Jubilee Party branch leaders have thrown their weight behind former Interior Cabinet Secretary Dr. Fred Matiang'i as their preferred presidential candidate.
- 20 Feb 2025 - A federal appeals court in San Francisco denied the Trump administration’s request to reinstate a ban on birthright citizenship. Donald Trump signed an executive order on his first day in office that ordered an end to birthright citizenship for children…
- » Shock, disbelief after Foreign Affairs PS shares CNN deep fake video praising Kenya’s peace effort in Sudan20 Feb 2025 - Foreign Affairs Principal Secretary (PS) Dr. Korir Sing’oei has come under fire for posting an AI-generated deepfake on his official X account, highlighting Kenya’s role in peace diplomacy in Sudan.
- 20 Feb 2025 - Gor Mahia coach Sinisa Mihic has hit out at his players over a lack of quality and a bad attitude during the team’s 0-0 draw against Bidco United on February 20, 2025. Speaking after the team was held by the lowly ranked side, Mihic sounded a warning on…
- 20 Feb 2025 - KMPDU has issued a 30-day ultimatum to the government to resolve the ongoing internship wage crisis or face nationwide demonstrations starting March 18, 2025.
- 20 Feb 2025 - Detectives in Mandera have arrested Bula Power Sub Location Assistant Chief Yussuf Maalim Issak for allegedly enabling terrorism by allowing illegal aliens to acquire Kenyan Identity Cards.
- 20 Feb 2025 - Nairobi county government has started a pilot program that will see all 43 markets within Nairobi installed with solar powered cold storage facilities to minimise fresh produce losses.