Wafanyibiashara katika soko la Marimanti wadinda kulipa ushuru kwa kaunti ya Tharaka Nithi

  • | Citizen TV
    339 views

    Wafanyibiashara katika soko la Marimanti eneo bunge la Tharaka,wamedinda kulipa Ushuru Kwa serikari ya kaunti wakidai kupotea kwa zabuni ya shilingi milioni 350 za ujenzi wa soko hilo. Wanabiashara hao wamekuwa wakisusia kulipa ushuru kwa wiki tatu sasa.