Wafanyikazi wa idara ya afaya waandamana Kwale

  • | Citizen TV
    296 views

    Baadhi ya wafanyikazi wa idara ya afya katika kaunti ya Kwale wameandamana hadi kwenye makao makuu ya serikali ya kaunti hiyo wakidai kupandisha vyeo.