Wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa AU ni akina nani?

  • | BBC Swahili
    758 views
    Leo ni siku muhimu kwa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika. Leila Mohamed anatufahamisha zaidi kuhusu wagombea wakuu watatu. #bbcswahili #umojawaafrika #AU Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw