Wagonjwa wa HIV na Kifua Kikuu wasema mkataba kati ya kenya na UAE utaongeza bei ya dawa

  • | Citizen TV
    189 views

    Wakenya wenye virusi vya HIV, wanaougua saratani na Kifua Kikuu wanalitaka bunge kufanyia mabadiliko mkataba kati ya kenya na milki ya kiarabu uae ambao wanasema utapandisha bei ya dawa wanazotumia .