Wagonjwa wa kifafa wadhaniwa kujihusisha na ushirikina

  • | Citizen TV
    213 views

    Mila na dhana potovu kuhusu ugonjwa wa kifafa katika kaunti ya Busia zimesababisha ugonjwa huo kuwa donga sugu huku wagonjwa wa kifafa wakitengwa na matibabu kupuuzwa